Mbinu ya kijasusi inayoweza kuokoa maisha yako

Artificial intelligence

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
1,262
2,191
Get off X kwa tafsiri nyepesi unaweza kusema ni kuwa nje ya x, lakini katika ujasusi haina maana hiyo.

Katika ujasusi ukisikia Get off the X, maana yake uwe nje ya tukio, shari au viashiria vya hatari ambavyo vinaweza kupelekea wewe kuathirika, kupata majeraha au kupoteza maisha.

Leo nita elezea hii mbinu katika angles tofauti tofauti na namna inavyotumika na jinsi ya kuitumia kukwepa matukio yanayoweza kuhatarisha usalama wako au maisha yako kwa kutumia mifano michache kama ifauatavyo;

FAMILY AND RELATIONSHIP CONFLICTS
Kunatokea migogoro mingi sana katika mahusiano na familia kwa ujumla, lakini mara nyingi watu wanashindwa kudeal nayo effectively na mwisho wake waga ni mbaya Sana. Mfano unakuta kwenye familia Baba na Mama wanagombana kila siku, vitisho kama vyote, chuki hadi kufikia hatua ya kuoneshana makali kwa kupigana au kushikiana visu, panga n.k.

Sasa ili kushinda migogoro kama hiyo siyo vibaya mmoja wenu akatumia hiyo mbinu ya Get off the X, maana yake ana ondoka katika hiyo nyumba/sehemu kwa muda maalumu na kwenda kupumzika sehemu nyingine hadi pale hali itakapo kuwa shwari, mbinu hii hutumiwa sana na wanawake pale wanapoona mambo yanaenda mlama kwenye ndoa zao kwa kurudi nyumbani kwao au kwingineko hili hiyo hali itulie Kwanza, lakini wengine uende mbali na kuomba talaka kabisa kwa sababu uhai aununuliwi. Lakini vile vile ukiona mwenza wako amerudi nyumbani amefura akikuamushia usitake kupigana naye unaweza kutoweka au kutoka nje ya haraka sana na kujificha mahali ili kuepusha shari, lakini mara nyingi unakuta mwanamke/mwanaume anapigwa, anatukanwa na anatishiwa kuchomwa kisu au kuuliwa still amekaa tu anasubiri itokee hivyo, ndo tunasikia mwanamke/mwanaume amekatwakatwa mapanga n.k.

Katika mahusiano ya boyfriend na girlfriend mbinu hii unaweza kuitumia kukwepa kifo au hathari za kisaikolojia zinazoweza kusababishwa na mwenza wako kutokana na vitimbwi. Mfano unakuta mwanaume/msichana amejitoa kweli kweli kwa girlfriend/boyfriend wake, lakini alishatambua fika kwamba penzi halipo tena Ila analilazimisha kwa kuhonga badala ya kwenda kujaribu bahati yake kwa mwingine, matokeo yake wanaume wengi uishia kujinyonga ama kufanya tukio baya sana kwa mwenza wake but angeweza kuyaepusha hayo yote kwa kutumia hiyo mbinu.

HOTELS, BAR AND RESTAURANT'S
Kwa wale wafuatiliaji wa western movies hasa za spy , au kama hujawahi, utakuwa ulishakutana na neno kama vile "jamaa anapotea kama mzuka", lakini sivyo moja wapo ya mbinu anayotumia spy kutoweka ni Get off the X , kwa sababu ukiwa spy sekunde ni nyingi kuweza kunusa hatari, ndiyo maana ao watu hutoweka eneo la tukio ghafla.

Mfano. Umeenda hotel as outing au kupata chakula na kinywaji , wakati unaendelea kuburudika mara ghafla unagundua kwamba unafuatiliwa mbinu ya Kwanza ya kufanya ni Get off the X, bila kujali huyo mtu amepanga kukudhuru au kukufanyia tukio lipi. Kwenye Bar sio lazima kila mtu anayekuchokoza lazima upigane naye unaweza kutumia hii mbinu kuokoa maisha yako au kukwepa fadhea na lawama, kuliko kujifanya una nguvu sana mwisho wake unachomwa kisu au chupa umepoteza maisha.

WORKING OFFICES
Unajua maofisini sio watu wote utakiana mema, kuna watu hata ufanye vipi watakuchongea kwa boss au kwa watumishi wenzako, hili kutumia mbinu hii kuyakwepa hayo yote unaweza kuomba uamishiwe office nyingne au ukatafuta kazi kampuni nyingine hii yote ni kutaka kuepusha shari au incidents zinazoweza kuhatarisha maisha yako. Mbinu hii hutumiwa na wakuu wa taasisi au nchi, ambapo uhamisha watumishi wao kutoka office/wizara moja kwenda nyingine ili kuepusha hathari zinazoweza kujitokeza baadae.

ACCIDENTAL INCIDENTS
Mbinu hii pia utumika endapo limetokea tukio la ajari sehemu au mahala ulipo. Mfano. Upo kwenye crowded area kama kariakoo au uwanja wa mpira mara ghafla bomu linalipuka kitu cha Kwanza unachotakiwa kuwaza ni kuwa nje ya tukio either kwa kukimbia au njia yoyote, don't freeze because kwenye intelligence unaambiwa "movement saves live" bahati mbaya sana ikitokeaga explosive incidents watu ukimbilia eneo la tukio, kamwe usidhubutu kufanya hivyo , unatakiwa utafute namna ya kutoweka kutoka kwenye tukio.

Hapa vile vile ningependa kukumbushia tukio la morogoro baada ya gari la mafuta kuanguka na kuripuka, kipindi gari limeanguka watu walikaa pale pale hadi gari likalipuka na mauti kuwakuta maana yake hawakuweza kuitumia hii mbinu ya Get off the X.

CAR TRAVEL SURVEILLANCE INCIDENTS
Hapa unakuta mtu au CEO wa kampuni ametoka ofisini na anasafiri kurudi nyumbani, lakini katika kusafiri kwake anagundua kwamba kuna gari linamfuatilia, here the right decision to take is to Get off the X, maana yake unatakiwa kumukimbia huyo criminal na kumuacha kwenye mataa, kivipi hapa unaweza kubadilisha uelekeo wako wa safari ghafla na kutafuta njia nyingine kadri uwezavyo, kwa sababu ukiwa ni targeted victim mara zote criminals wanakuwa wameshazijulia njia zako za kila siku, kwahiyo unaweza kutumia njia hiyo kama moja wapo ya kuzikwepa incidents za namna hiyo zinazoweza kuhatarisha usalama wako.

Don't forget "MOVEMENT SAVES LIVE" kuna incidents zinatokea sio lazima ukabiliane nazo, nyingine unaweza kuzikimbia/kuzikwepa ili kunusuru uhai wako.
 
Get off X kwa tafsiri nyepesi unaweza kusema ni kuwa nje ya x, lakini katika ujasusi haina maana hiyo.

Katika ujasusi ukisikia Get off the X, maana yake uwe nje ya tukio, shari au viashiria vya hatari ambavyo vinaweza kupelekea wewe kuathirika, kupata majeraha au kupoteza maisha.

Leo nita elezea hii mbinu katika angles tofauti tofauti na namna inavyotumika na jinsi ya kuitumia kukwepa matukio yanayoweza kuhatarisha usalama wako au maisha yako kwa kutumia mifano michache kama ifauatavyo;

FAMILY AND RELATIONSHIP CONFLICTS
Kunatokea migogoro mingi sana katika mahusiano na familia kwa ujumla, lakini mara nyingi watu wanashindwa kudeal nayo effectively na mwisho wake waga ni mbaya Sana. Mfano unakuta kwenye familia Baba na Mama wanagombana kila siku, vitisho kama vyote, chuki hadi kufikia hatua ya kuoneshana makali kwa kupigana au kushikiana visu, panga n.k, sasa ili kushinda migogoro kama hiyo siyo vibaya mmoja wenu akatumia hiyo mbinu ya Get off the X, maana yake ana ondoka katika hiyo nyumba/sehemu kwa muda maalumu na kwenda kupumzika sehemu nyingine hadi pale hali itakapo kuwa shwari, mbinu hii hutumiwa sana na wanawake pale wanapoona mambo yanaenda mlama kwenye ndoa zao kwa kurudi nyumbani kwao au kwingineko hili hiyo hali itulie Kwanza, lakini wengine uende mbali na kuomba talaka kabisa kwa sababu uhai aununuliwi. Lakini vile vile ukiona mwenza wako amerudi nyumbani amefura akikuamushia usitake kupigana naye unaweza kutoweka au kutoka nje ya haraka sana na kujificha mahali ili kuepusha shari, lakini mara nyingi unakuta mwanamke/mwanaume anapigwa, anatukanwa na anatishiwa kuchomwa kisu au kuuliwa still amekaa tu anasubiri itokee hivyo, ndo tunasikia mwanamke/mwanaume amekatwakatwa mapanga n.k.
Katika mahusiano ya boyfriend na girlfriend mbinu hii unaweza kuitumia kukwepa kifo au hathari za kisaikolojia zinazoweza kusababishwa na mwenza wako kutokana na vitimbwi. Mfano unakuta mwanaume/msichana amejitoa kweli kweli kwa girlfriend/boyfriend wake, lakini alishatambua fika kwamba penzi halipo tena Ila analilazimisha kwa kuhonga badala ya kwenda kujaribu bahati yake kwa mwingine, matokeo yake wanaume wengi uishia kujinyonga ama kufanya tukio baya sana kwa mwenza wake but angeweza kuyaepusha hayo yote kwa kutumia hiyo mbinu.

HOTELS, BAR AND RESTAURANT'S
Kwa wale wafuatiliaji wa western movies hasa za spy , au kama hujawahi, utakuwa ulishakutana na neno kama vile "jamaa anapotea kama mzuka", lakini sivyo moja wapo ya mbinu anayotumia spy kutoweka ni Get off the X , kwa sababu ukiwa spy sekunde ni nyingi kuweza kunusa hatari, ndiyo maana ao watu hutoweka eneo la tukio ghafla. Mfano. Umeenda hotel as outing au kupata chakula na kinywaji , wakati unaendelea kuburudika mara ghafla unagundua kwamba unafuatiliwa mbinu ya Kwanza ya kufanya ni Get off the X, bila kujali huyo mtu amepanga kukudhuru au kukufanyia tukio lipi. Kwenye Bar sio lazima kila mtu anayekuchokoza lazima upigane naye unaweza kutumia hii mbinu kuokoa maisha yako au kukwepa fadhea na lawama, kuliko kujifanya una nguvu sana mwisho wake unachomwa kisu au chupa umepoteza maisha.

WORKING OFFICES
Unajua maofisini sio watu wote utakiana mema, kuna watu hata ufanye vipi watakuchongea kwa boss au kwa watumishi wenzako, hili kutumia mbinu hii kuyakwepa hayo yote unaweza kuomba uamishiwe office nyingne au ukatafuta kazi kampuni nyingine hii yote ni kutaka kuepusha shari au incidents zinazoweza kuhatarisha maisha yako. Mbinu hii hutumiwa na wakuu wa taasisi au nchi, ambapo uhamisha watumishi wao kutoka office/wizara moja kwenda nyingine ili kuepusha hathari zinazoweza kujitokeza baadae.

ACCIDENTAL INCIDENTS
Mbinu hii pia utumika endapo limetokea tukio la ajari sehemu au mahala ulipo. Mfano. Upo kwenye crowded area kama kariakoo au uwanja wa mpira mara ghafla bomu linalipuka kitu cha Kwanza unachotakiwa kuwaza ni kuwa nje ya tukio either kwa kukimbia au njia yoyote, don't freeze because kwenye intelligence unaambiwa "movement saves live" bahati mbaya sana ikitokeaga explosive incidents watu ukimbilia eneo la tukio, kamwe usidhubutu kufanya hivyo , unatakiwa utafute namna ya kutoweka kutoka kwenye tukio.
Hapa vile vile ningependa kukumbushia tukio la morogoro baada ya gari la mafuta kuanguka na kuripuka, kipindi gari limeanguka watu walikaa pale pale hadi gari likalipuka na mauti kuwakuta maana yake hawakuweza kuitumia hii mbinu ya Get off the X.

CAR TRAVEL SURVEILLANCE INCIDENTS
Hapa unakuta mtu au CEO wa kampuni ametoka ofisini na anasafiri kurudi nyumbani, lakini katika kusafiri kwake anagundua kwamba kuna gari linamfuatilia, here the right decision to take is to Get off the X, maana yake unatakiwa kumukimbia huyo criminal na kumuacha kwenye mataa, kivipi hapa unaweza kubadilisha uelekeo wako wa safari ghafla na kutafuta njia nyingine kadri uwezavyo, kwa sababu ukiwa ni targeted victim mara zote criminals wanakuwa wameshazijulia njia zako za kila siku, kwahiyo unaweza kutumia njia hiyo kama moja wapo ya kuzikwepa incidents za namna hiyo zinazoweza kuhatarisha usalama wako.

Don't forget "MOVEMENT SAVES LIVE" kuna incidents zinatokea sio lazima ukabiliane nazo, nyingine unaweza kuzikimbia/kuzikwepa ili kunusuru uhai wako.
Ubarikiwe mno mkuu, huenda ukaokoa maisha ya mtu au watu kupitia bandiko hili
 
Back
Top Bottom