Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 910
Wewe utakuwa umetoka usingizini.Huko kwenu mabomba yemepita kwenye nguzo za tanesco nn???!!
Hyo mbinu safi sanaTAHADHARI: Kama nyumbani kwako una bomba la maji nje, na ukaamka usiku wa manane na kulisikia linatoa maji, usitoke kwenda kulifunga we acha tu hiyo bili iongezeke...maana ukitoka tu ni ishu, wezi na majambazi wamebuni njia mpya ya kukufanya wewe ufungue milango yako kiulaini. PLEASE MJULISHE NA MWENZAKO.
Daaaa!!hii nchi imefikia pabaya sana ndugu yangu.Sasa mtu kama huyo kaandika nini hapo juu?.Hapo usikute hajapata mlo hata kwa siku mbili nzima.Acha waisome nambaaaaWewe utakuwa umetoka usingizini.
uhaba wa virutubisho vya sukar mwilinWewe utakuwa umetoka usingizini.
Huko kwenu mabomba yemepita kwenye nguzo za tanesco nn???!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utakuwa umetoka usingizini.
Hakika wewe utakuwa kakake yule binti mtoto wa jamaaHuko kwenu mabomba yemepita kwenye nguzo za tanesco nn???!!
hao ndiyo great thinkers more than Lizaboni na simiyu yetu