Kwanza,naomba niwapongeza wanachama wote JF kwa mijadala na changamoto mbalimbali mnazozitoa.kwani ni mwanacha mpya wa JF.Hivyo naomba mnisaidie mbinu mbalimbali za propaganda.