Tujadili mbinu mbambali za upinzani kushinda uchaguzi maana kuna watu wanadhani 2020 ni mbali sana.
- Kuwa na rekodi ya ahadi zote alizotoa Mh Magufuli ikiwamo ya mil. 50 kwa kila kijiji. Hizi ziwe kwenye audio.
- Kuwe na rekodi za sauti za hotuba juu ya tetemeko Kagera, njaa na utatuzi wake.
- Kauli na vitisho vyote virekodiwe ili kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe maana mizigo yetu ni mizito kwa wanasiasa.
- Tukumbushane juu ya Uhuru wa vyombo vya habari na kamatakamata.
- Endeleeni.....