ndugu zangu mm nimesomea mambo ya
tehama(ict) sasa nimeamua kuandika
business proposal nne ili nizi peleke kwenye
makampuni tofauti je kwa mazingila ya
nchi yetu
je
- wanaweza zipokea
- pia zinaweza badili maisha yangu na
- mwisho nifanye kitu gani kabla ya kuzipeleka
aksanteni kuweni huru kuchangia