Ukiunganisha hizo bold, unapata sentensi hii "ilinilazimu kufanya kila liwezekanalo kuhujumu haki, kushawishi vijana kuiba kadi za wapiga kura, tena nimefanikiwa kuja na mbinu mpya kuwahadaa vikongwe na wazee na watu wengine".ilinilazimu kufanya kila liwezekanalo kuhujumu haki za wale wanaowaunga mkono
Miaka 5 iliyopita nililazimika kushawishi vijana kuiba kadi za wapiga kura ambao hawakuwa tayari kuleta mabadiliko ikiwemo ni pamoja na wazee na watu wa makamo ambao tuliona wangeipigia CCM kura na kuwakosesha haki ya kufanya hivyo,
Mara hii tena nimefanikiwa kuja na mbinu mpya kuwahadaa vikongwe na wazee na watu wengine wasio na uelewa mkubwa wa masuala ya uraia kuwa hawakuwa na sababu ya kujiandikisha kwani tayari walikuwa na kadi za kupigia kura na wangepiga kula kumbe sivyo.
Ubaya ubaya tu kwani kwa muda mrefu CCM wameshinda kwa mbinu mbinu tu na sisi ni muda wetu wa kuwashinda kwa mbinu mbinu hivyo hivyo,
huyu mtoa uzi ni kenge mweusi.
Upuuzi huu. na ndo maana wapinzani wameendelea kuishi kwa matukio. Very poor!