Mbezi mwisho: Wafanyabiashara wadogo walazimika kufanyia biashara zao pembezoni mwa barabara

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,493
54,900
241.jpg

Udhibiti wa nguvu na sheria kwa wafanyabiashara wadogo kutotakiwa kuingia ndani ya kituo cha daladala cha Mbezi mwisho jijini Dar es salaam kumesababisha baadhi ya wafanyabiashara wadogo kulazimika kufanya biashara zao pembezoni mwa barabara jambo ambalo nalo limeelezwa kuwa kero kwa watumuiaji wa barabara pamoja na hatari ya kugongwa na magari pindi ajali itakapotokea.
 
Kwani hujui kama tunaelekea uchaguzi mkuu...so viongozi wanaogopa kupoteza wapiga kura...

Maeneo yote dar pembenzoni mwa barabara kumejaa wamachinga...ubungo ndo sheeedarrr....
 
Hata hivi vituo vya mabasi yaendayo kasi vimegeuka kuwa vimbwata vya kufanyia biashara, mfano Manzese na Kimara mwisho
 
Back
Top Bottom