Mbeya wabuni mbinu mpya ya kusurubisha wezi

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,944
Reaction score
4,511
[h=3]WAKAZI WA UYOLE MBEYA WASEMA SASA KUUWA WEZI BASI DAWA NI KUWASURUBISHA MPAKA POLISI WAFIKE [/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]MWIZI WA BETRI YA GARI ANAEJULIKANA KWA JINA MOJA TU SEFA AKISURUBIWA KWA STAILI YA AINA YAKE KWA KUFUNGWA KWENYE NGAZI PAMOJA NA BETRI ALIYOIBA[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]MWIZI HUYO AKIENDELEA KUTESEKA KATIKA NGAZI HIYO[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
​
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]POLISI WAMEFIKA KUMWOKOA MWIZI HUYO KATIKA MATESO HAYO[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]BADO WANANCHI WANAHASIRA NA MWIZI WAO WAKIDAI WAACHIWE WAMFUNZE ADABU MAANA AMEWASUMBUA SANA ENEO HILO LA UYOLE[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]POLISI WAMEZIDIWA WAMEPOKONYWA MTUHUMIWA WAO KIPIGO KINAENDELEA[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
​
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]HII NDIYO NGAZI ILIYOTUMIKA KUMWADHIBU MWIZI HUYO

kwa hisani ya Mbeya Yetu
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Labda kama kule hawawatoi jioni yake but akitoka anao mmoja mmoja walio msurubu!
 
Hiyo ni kwa uyole, akiiba maeneo ya forest mpya, akikamatwa hapigwi labda awe na uhitaji wa kupigwa kwa kugoma anachoambiwa afanye.

Wakikamata mwizi, wanaambiana kalete uji ili anywe. Ukiletwa huo uji asipokunywa ndiyo ratiba ya kipigo hutokea na atakunywa kwa nguvu.

Uliza huo uji ni kitu gani, wanachanganya cement na maji then wanakoroga and then anapewa kibaka. Akishakunywa wanamruhusu aende kwa onyo asirudie tena.

Hata hatua kadhaa kibaka hafiki, ni chini na uhai wake unaishia hapo.

Wakaz wa huko wanasema wamechoka kupiga na kwa njia hiyo uhalifu na udokozi umepungua kama si kuwepo tena maeneo hayo ya forest mpya.
 
mwe! mwakibete muliwalosi! tufwile! hi cement? mhh!!
 
Karibu Mbeya, huu ni Mkoa unaoongoza kwa matukio ya ajabu!
 
Duh! Hii mbaya jamani!

Hiyo ni kwa uyole, akiiba maeneo ya forest mpya, akikamatwa hapigwi labda awe na uhitaji wa kupigwa kwa kugoma anachoambiwa afanye.

Wakikamata mwizi, wanaambiana kalete uji ili anywe. Ukiletwa huo uji asipokunywa ndiyo ratiba ya kipigo hutokea na atakunywa kwa nguvu.

Uliza huo uji ni kitu gani, wanachanganya cement na maji then wanakoroga and then anapewa kibaka. Akishakunywa wanamruhusu aende kwa onyo asirudie tena.

Hata hatua kadhaa kibaka hafiki, ni chini na uhai wake unaishia hapo.

Wakaz wa huko wanasema wamechoka kupiga na kwa njia hiyo uhalifu na udokozi umepungua kama si kuwepo tena maeneo hayo ya forest mpya.

Ubinadamu ni kazi!
 
Endeleeni kutusafishia Mbeya yetu iwe safi. Hao washenzi wamezidi sana, tar 13 jan 2013 waliniibia laptop yangu geto, sina huruma tena.
 
Hii itawafaa sana wanaCCM ni kuwatundika baada ya 2015 maana nao wametusumbuwa sana kwa miaka zaidi ya 50 wanatuibia tu.
 
Hiyo ni kwa uyole, akiiba maeneo ya forest mpya, akikamatwa hapigwi labda awe na uhitaji wa kupigwa kwa kugoma anachoambiwa afanye.

Wakikamata mwizi, wanaambiana kalete uji ili anywe. Ukiletwa huo uji asipokunywa ndiyo ratiba ya kipigo hutokea na atakunywa kwa nguvu.

Uliza huo uji ni kitu gani, wanachanganya cement na maji then wanakoroga and then anapewa kibaka. Akishakunywa wanamruhusu aende kwa onyo asirudie tena.

Hata hatua kadhaa kibaka hafiki, ni chini na uhai wake unaishia hapo.

Wakaz wa huko wanasema wamechoka kupiga na kwa njia hiyo uhalifu na udokozi umepungua kama si kuwepo tena maeneo hayo ya forest mpya.

kwa hali hii lazima tujiulize kwa nini watu wanaiba?
 
Dawa ni kuwafunga kama punching bag halafu tunapanga mstari kila mmoja anapiga anapojisika..mpaka biashara inaisha!
 
Back
Top Bottom