Nzoka yihenge
Member
- Jan 14, 2011
- 46
- 29
Tusiwe watu wa kulalamika, hicho kifusi kimekuwepo enzi na enzi na hakuna aliye thubutu! Hawa jamaa wamejenga uwezo kwa kuweka plant maeneo hayo na ikawa fursa kwa wananchi mnaishia kulalamika! Tuwe tunaangalia pande zote badala ya kujifungia kwa box na kulalama.