Maisha Mbeya Ni Rahisi Sana Tena Sana!.
1.Kwasasa Bei Ya Mchele Imepanda Ndo Imefikia 25000 Kwa Debe La Kilo 20
2.Mkungu Wa Ndiz Mkubwa Ni 5000 To 6000
3.Maparachichi,karoti,vitunguu Na Viungo Viungo Ni Cheap Mfano Hakuna Yan Kifup Bwereree
4.Nyama Ya Ng'ombe Leo Ni 4600/kilo Na Mdudu Sh 5000
Niconclude Kwa Kusema Ukiwa Na 70000 Familia Ya Watu 3 Wanakula Vzur Kbs Kwa Mwez Mzma
5.Kod Ya Nyumba Chumba Na Sebule-self Ni 40000 Kwa Mwez Kwa Nyumba Bora
Karibu sana mi nipo uyole