The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,526
- 122,953
under age haruhusiwi hata kuajiriwa alafu anapewa adhabu ya faini!! Tatizo la wajinga kutunga sheriaAtajua yeye
Ni under 18 pia ni mwanafunzi. Ndio adhabu hiyo.Mbona adhabu ndo Sana hio
🤣🤣🤣🤣 Halafu atamleaje?Kumuoa ndio ingekuwa hukumu nzuri
Kaweza kumtia mimba, hata kumlea anaweza, mtu mzima tayari huyo🤣🤣🤣🤣 Halafu atamleaje?