John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Okay,Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Kijiji Cha Kilambo ambaye ni Mwanafunzi wa kidato Cha nne katika shule ya Sekondari Ikimba Wilayani Kyela amehukumiwa kifungo Cha nje Cha miezi 12 pamoja na faini ya kiasi Cha shilingi laki mbili Kwa kosa la kubaka na kumpa Mimba Mwanafunzi mwenzake.
Jukumu hiyo imetolewa katika mahakama ya wilaya Kyela na Mhe.Hakimu Paul Barnabas .
Hukumu hiyo ni Kwa mujibu wa kifungu Cha 130 kifungu kidogo Cha kwanza na Cha pili (e) na kifungu Cha 131 kifungu kidogo Cha pili (a) vyote vya Sheria ya kanuni ya Adhabu pamoja na kifungu 60 A kifungu kidogo Cha tatu Cha Sheria ya elimu.
Mshitakiwa alitenda kosa hilo Julia 15 2024 baada ya kumlaghai Mwanafunzi mwenzie kuwa atamuoa baada ya kumaliza masomo yake.
Alafu yeye mwenyewe hapo unaweza kuta ni uzao wa mimba za shuleni!!Mbona adhabu hiyo ni kubwa sana, wote ni under 18!! au neno kubaka limekuchanganya? kufanya mapenzi na binti yeyote wa chini ya 18 ni kubaka, haina maana alitumia nguvu ndio maana wamefafanua alimlaghai kwa kumwambia atamuoa baada ya masomo.
Wototo zaidi ya asilimia 50 mashuleni huko wanafanya mapenzi, mtawafunga wangapi [emoji23][emoji23]
Alafu yeye mwenyewe hapo unaweza kuta ni uzao wa mimba za shuleni!!
Dah Mungu awanusuru watoto wetu.Mbona adhabu hiyo ni kubwa sana, wote ni under 18!! au neno kubaka limekuchanganya? kufanya mapenzi na binti yeyote wa chini ya 18 ni kubaka, haina maana alitumia nguvu ndio maana wamefafanua alimlaghai kwa kumwambia atamuoa baada ya masomo.
Wototo zaidi ya asilimia 50 mashuleni huko wanafanya mapenzi, mtawafunga wangapi 😂😂
Hilo limetokana na kufanya eksiperimenti ya baiolojia, ila kuhusu faini anayotakiwa alipe sijui ataipata wapi wakati yeye ni mwanafunzi hana ajira.Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Kijiji Cha Kilambo ambaye ni Mwanafunzi wa kidato Cha nne katika shule ya Sekondari Ikimba Wilayani Kyela amehukumiwa kifungo Cha nje Cha miezi 12 pamoja na faini ya kiasi Cha shilingi laki mbili Kwa kosa la kubaka na kumpa Mimba Mwanafunzi mwenzake.
Jukumu hiyo imetolewa katika mahakama ya wilaya Kyela na Mhe.Hakimu Paul Barnabas .
Hukumu hiyo ni Kwa mujibu wa kifungu Cha 130 kifungu kidogo Cha kwanza na Cha pili (e) na kifungu Cha 131 kifungu kidogo Cha pili (a) vyote vya Sheria ya kanuni ya Adhabu pamoja na kifungu 60 A kifungu kidogo Cha tatu Cha Sheria ya elimu.
Mshitakiwa alitenda kosa hilo Julia 15 2024 baada ya kumlaghai Mwanafunzi mwenzie kuwa atamuoa baada ya kumaliza masomo yake.
Watanzania hamna akili timamu.Mbona adhabu ndo Sana hio
Kwanini mwanamke ahukumiwe nusu ya kifungo cha Mwanaume?Okay,
Ila Sheria inapaswa kubadilishwa ili Kama Mtuhumiwa wa ubakaji wa jinsia ya kiume anapotiwa hatiani, na mwanamke mhusika naye pia atiwe hatiani na kisha huyo mwanamke naye ahukumiwe angalau Nusu ya adhabu ambayo Mwanaume anahukumiwa nayo.
Mathalani, kama Mwanaume anahukumiwa kifungo cha jela miaka thelathini (30) Basi na Mwanamke naye ahukumiwe Nusu ya kifungo hicho, yaani apewe kifungo cha miaka kumi na Tano (15) gerezani. Hii itasaidia kutoa fundisho kwa wote kabisa
KabisaMbona adhabu hiyo ni kubwa sana, wote ni under 18!! au neno kubaka limekuchanganya? kufanya mapenzi na binti yeyote wa chini ya 18 ni kubaka, haina maana alitumia nguvu ndio maana wamefafanua alimlaghai kwa kumwambia atamuoa baada ya masomo.
Wototo zaidi ya asilimia 50 mashuleni huko wanafanya mapenzi, mtawafunga wangapi 😂😂
HakikaOkay,
Ila Sheria inapaswa kubadilishwa ili Kama Mtuhumiwa wa ubakaji wa jinsia ya kiume anapotiwa hatiani, na mwanamke mhusika naye pia atiwe hatiani na kisha huyo mwanamke naye ahukumiwe angalau Nusu ya adhabu ambayo Mwanaume anahukumiwa nayo.
Mathalani, kama Mwanaume anahukumiwa kifungo cha jela miaka thelathini (30) Basi na Mwanamke naye ahukumiwe Nusu ya kifungo hicho, yaani apewe kifungo cha miaka kumi na Tano (15) gerezani. Hii itasaidia kutoa fundisho kwa wote kabisa
Ulitaka adhabu gani? Tendo walishiriki wote adhabu anapewa mmoja unalalamika. Shauri wapewe wote adhabu siyo huu uonevu kwa wanaume tu.Mbona adhabu ndo Sana hio
Iran ndiyo wanajadili mtoto aingie ndoani akiwa na miaka 9Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Kijiji Cha Kilambo ambaye ni Mwanafunzi wa kidato Cha nne katika shule ya Sekondari Ikimba Wilayani Kyela amehukumiwa kifungo Cha nje Cha miezi 12 pamoja na faini ya kiasi Cha shilingi laki mbili Kwa kosa la kubaka na kumpa Mimba Mwanafunzi mwenzake.
Jukumu hiyo imetolewa katika mahakama ya wilaya Kyela na Mhe.Hakimu Paul Barnabas .
Hukumu hiyo ni Kwa mujibu wa kifungu Cha 130 kifungu kidogo Cha kwanza na Cha pili (e) na kifungu Cha 131 kifungu kidogo Cha pili (a) vyote vya Sheria ya kanuni ya Adhabu pamoja na kifungu 60 A kifungu kidogo Cha tatu Cha Sheria ya elimu.
Mshitakiwa alitenda kosa hilo Julia 15 2024 baada ya kumlaghai Mwanafunzi mwenzie kuwa atamuoa baada ya kumaliza masomo yake.
Ndo maana huwa nasema wanawake ni mashetaniMadenti wengi hua wanapeana mimba wao kwa wao.
Sometimes inatokea binti akihisi ana mimba na kuna njemba ya mtaani kama ilikua inamsumbua sumbua binti anajileta kirahisi unakula unapewa zigo la miaka 30 ulibebe...
Huyo wa kiume anafukuzwa shule?Mbona adhabu hiyo ni kubwa sana, wote ni under 18!! au neno kubaka limekuchanganya? kufanya mapenzi na binti yeyote wa chini ya 18 ni kubaka, haina maana alitumia nguvu ndio maana wamefafanua alimlaghai kwa kumwambia atamuoa baada ya masomo.
Wototo zaidi ya asilimia 50 mashuleni huko wanafanya mapenzi, mtawafunga wangapi 😂😂
Sina uhakika ila hamna haja.Huyo wa kiume anafukuzwa shule?
Kumuoa ndio ingekuwa hukumu nzuri