jezi za mbeya city zinauzwa kwa watu maalumu,kwa hapa mbeya kuna watu kama wawili ndio wanhusika na uuzaji wake,Mastalana jamaa mwingine pamoja na halmashauri wenyewe.nafikiri bado wanaanda utaratibu utakatumika kuhakikisha jezi zinafika maeneo mbalimbali na nchi pasipokuchakachuliwa na kuiingizia klabu mapato.