Mbeya City's Photo Gallery



Mnara wa Mashujaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo njia ya kwenda Ghana syo....duh mm mbeya nmekaa chimala,jakaranda,blok t,napakumbuka Kwa mama john,alafu nlikuwa nakwendaga mlimani Kwa wasafwa kununa piches na kuleta dar wasafwa hata kiswahili walikuwa hawajui umenikumbusha maana mbaya nshapiga mishe sana mpaka tunduma na kyela to tukuyu

Ova
 
Mbona picha zingine km za Dar?
 
The real nyanda za zuu ni Mbeya. Kwahiyo upepo mkali ni lazima, hiyo shule mlisoma wapi? Sawa Mbeya hata hizo ghorofa zimejengwa kimakosa, sababu ya tetemeko la ardhi ndani ya bonde la ufa. Ndiyo maana hata hospitali ya rufaa haina ghorofa ndefu sababu ni hiyo tu. Karibuni Mbeya mji mzuri usiokuwa na umbea wala majungu. Ingekuwa nchi tungekuwa matajiri sana lkn tunalazimika kupokea shida za dodoma, shinyanga, tabora singida nk
 
Hakuna jiji bovu kama mbeya.... mnazidiwa hata na moshi kwa majengo mazuri....
 
Nipo mbeya likizo mbeya ni pazuri karibia kila kitu isipokuwa tu vumbi yaani kuna vumbi balaa
 
Mbeya bado ni upuuzi ni mji usio kuwa na hadhi ya jiji halafu watu wake wanaishi kienyeji sana
 
Mbeya, Morogoro, Iringa hii mikoa ninaipendea kitu kimoja tu, ukilala njaa umejitakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…