Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Okwi Muda wowote ataingia naona anapasha
 
Hii gemu Simba bado niyakwao Ni kutulia na kuwa making

Points 3 Ni muhimu leo
 
Mda wa red card, penalty na Dakika 10 nyongeza bado.
M-Pesa mtandao unasumbua.
 
Refa inabidi awalinde wachezaji wa Simba Hawa mbeya city wamekamia Sana wanacheza Bundesliga
 
Butua butua zimekuwa nyingi kwa Mbeya city
Wakipata mpira wanaosha mbele tu
 
Kagere Leo amekamiwa Sana wanamkaba Sana hapumui
 
Back
Top Bottom