Mbeya city vs Coastal union

Dk ya 90, coastal union 2:0 Mbeya city!
Too bad guys!
 
Tangu tuwatoe utandu (tuwabikire) wamekuwa walaini sana hawa MCC, kunateleza tu sasa.
Mpaka Coastal naye kawalainisha.!!!
 
Mbeya city hufungwa na timu zenye ushirikina mwingi tu.
 
Mbeya cty ilikuwa nguvu za soda tu Hata jkt oljoro walikuja hivyohivyo sasa hiv wako wapi? Huo ndo mwanzo wa mbeya MCC kuporomoka na mwisho wa kung'ara ktk soka la bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…