Mbeya city kumaliza mzunguko wa kwanza kileleni

Mbeya city kumaliza mzunguko wa kwanza kileleni

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Yanga wanaliwa, simba wanagongwa, azam wanalambishwa koni. Mbeya city hatari
 
inaelekea mbeya city wanakufikisha kileleni!ndio maana unapiga kelele za mshindo hivi
 
ni timu nzuri, imeanza vizuri, ila washabiki wake sio wastaarabu, wafanya fujo wanaharibu sifa nzuri ya timu
 
Hawana soka la magazetini ndio maana wanashinda. Nilishuhudia mazoezi yao na kiukweli madogo wapo safi na hawatachuja leo au kesho.
 
Back
Top Bottom