Zote mtanunua maji ya maandamo hama kweli wajinga ndiyo...[/QUOTE
Acheni unafiki kujidai kuwaonea Watanzania huruma wakati nyie ndio majambazi wakubwa,saa hivi mnatafuta pesa za kampeni kwa kuingia mikataba feki ambayo ni mzigo kwa watanzania ambaye hata hajazaliwa,akizaliwa tu anakuta anadaiwa deni ambalo ccm wamechakachua unafiki una athari zake