Mbeya: CHADEMA wachangisha pesa

Joined
Sep 29, 2011
Posts
13
Reaction score
1
Pesa kwa ajili yakununulia maji yakunawa kipindi cha maandamano kama mabomu yatapigwa lakin kwa ajili ya kutibu wahanga wa maandamano kwa ajili aya kung'oa waziri wa elimu pamoja na naibu wanasema mpaka kieleweke.

 

Attachments

  • 28022013574.jpg
    37.1 KB · Views: 1,468
Ukicheka na nyani utakula mabua...Hawa mawaziri wa ELIMU lazima wawajibike.
 
Kama sie ndo waajiri wao watang'oka tu ama kwa kutaka ama kwa kunji ..hii nchi sasa tuheshimiane,alah!
 
There is no lelemama in future (Nyerere 1994)
 
Chadema wamejua kula za wajinga,unatoa huku unachekelea.
 
Ningependa yawe maandamano ya kuing'oa serikali yote kama alivyosema mke wao Mrema ili tuanze upya.
Zimepatikana takriban Mil.3.2 ,hii inaonesha ni jinsi gani watz tumewachoka WAKOLONI WEUSI {CCM} ,sio hivyo tu! Bali inaonesha jinsi CDM wanavyojali maslahi ya nchi. Hasie uona umuhimu wa Cdm anautindio wa ubongo.
 
mshahara wa slaa huo mil 84 kwa mwaka si mchezo
 
Looh! maskini wanachanga pesa, wakubwa wanakula. Hii dunia kweli wajinga ndio waliwao.
 
Issue sio kuchanga tu, Lakini walau tungekuwa tunapewa mrejesho wa mapato na matumizi.

Tukikosa transparency kwenye vihela vijisenti kama hivyo . Je tukiwakabidhi Hazina yetu itakuwaje ?

Yaaani mi naogopa sanaa....
 
hiyo ni ishara tosha kwa magamba kuwa wananchi wapo tayari kwa kila ajambo ili mradi huyu mfu ccm azikwe.
 
Watu mmezoea kuropoka vitu ambavyo hamvijui kwani viwanja vya mpira vya ccm m.f kirumba n.k vilijengwaje????akili za kuazima changanya na zako
 
Japo sidhani kama hii ni suluhu kwa matatizo ya elimu nchini kwa kuwa tatizo ni la kimfumo, hii ni kuionesha serikali kuwa umma hauridhishwi kabisa na jinsi sekta ya elimu inavyoendeshwa. Hapa suluhu ni kuifumua serikali yote, kwa kuwa kama ni mwili, wote umetapakaa vimelea vya kansa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…