Wakuu mliopo Mbeya au Tukuyu,nimesearch mtandaoni na kuona baridi kali 4-8 Centigrade.Pale Uporoto si itakuwa 0 Centigrade?
Hapa DSM tu hapalaliki, tupeni habari sehemu nyingine,Arusha,Lushoto,Iringa
Wakuu mliopo Mbeya au Tukuyu,nimesearch mtandaoni na kuona baridi kali 4-8 Centigrade.Pale Uporoto si itakuwa 0 Centigrade?
Hapa DSM tu hapalaliki, tupeni habari sehemu nyingine,Arusha,Lushoto,Iringa
Mkuu Arusha jana ilikuwa balaa asubuhi tuliamka na manyunyu ikiambatana na baridi kali,Leo kuna baridi lakini si kama jana hata Serengeti baridi ilikataa kushuka.
Mbeya ni soo, kuna mwaka (miaka ya tisini) snow ilianguka na kuufunika kabisa mji wa mbeya kwa zaidi ya siku tatu.
Sumbalawinyo najua unakumbuka kipindi kile tukiwa sisimba shule ya msingi
EE bwanaee!
Hapo kali kabisa
Hapa Dar ni 18C na kwa kiwango cha Dar hiki ni kipupwe.
Baharini hakukaliki upepo, hata hivyo mbu wame salimu amri, jhat hivyo vti vya bar zile za kutandikwa meza nje watu hawapo kabisa.
Hapo Mbeya, Carnival nafikiri nje hamna mtu!!!