Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Jan 15, 2014 #1
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 15, 2014 #2 Ipo mkuu Attachments 1389764090807.jpg 36.2 KB · Views: 266
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Aug 13, 2014 #3 Mkuu zinapatikana wapi na bei zake zikoje hizi mbegu? Nalog off
Ukweli1 JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 550 Reaction score 333 Aug 13, 2014 #4 hiii aina ya mipapai ni komesha mbona inazaa hivyo, mkuu ukipata wapi mbegu inapatikana naomba unijulishe wapi nikanunue MziziMkavu.
hiii aina ya mipapai ni komesha mbona inazaa hivyo, mkuu ukipata wapi mbegu inapatikana naomba unijulishe wapi nikanunue MziziMkavu.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Aug 13, 2014 Thread starter #5 Ukweli1 said: hiii aina ya mipapai ni komesha mbona inazaa hivyo, mkuu ukipata wapi mbegu inapatikana naomba unijulishe wapi nikanunue MziziMkavu. Click to expand... Mkuu Muulize mkuu utafiti anasema hapo bongo mbegu fupi za Mipapai inapatikana anaweza kukusaidia huyu Mkuu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ukweli1 said: hiii aina ya mipapai ni komesha mbona inazaa hivyo, mkuu ukipata wapi mbegu inapatikana naomba unijulishe wapi nikanunue MziziMkavu. Click to expand... Mkuu Muulize mkuu utafiti anasema hapo bongo mbegu fupi za Mipapai inapatikana anaweza kukusaidia huyu Mkuu.
Ukweli1 JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 550 Reaction score 333 Aug 13, 2014 #6 MziziMkavu said: Mkuu Muulize mkuu utafiti anasema hapo bongo mbegu fupi za Mipapai inapatikana anaweza kukusaidia huyu Mkuu. Click to expand... Nashukuru sana nitamtafuta. utafiti Naomba unielekeze pakuipata hiii mbegu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MziziMkavu said: Mkuu Muulize mkuu utafiti anasema hapo bongo mbegu fupi za Mipapai inapatikana anaweza kukusaidia huyu Mkuu. Click to expand... Nashukuru sana nitamtafuta. utafiti Naomba unielekeze pakuipata hiii mbegu.
peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,170 Aug 13, 2014 #7 mkuu utafiti tusaidie namna ya kuipata hiyo mbegu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016