Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,699 Reaction score 4,911 Sep 17, 2023 #21 Jane Lowassa said: Nje ya madam: naomba kujua ekari Moja inachukua kiasi gani cha mbegu ya mahindi? Click to expand... Mifuko mitatu wastan wa kilo 6 hv
Jane Lowassa said: Nje ya madam: naomba kujua ekari Moja inachukua kiasi gani cha mbegu ya mahindi? Click to expand... Mifuko mitatu wastan wa kilo 6 hv
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,930 Reaction score 27,454 Sep 21, 2023 #22 Mfilisiti said: Mkuu mimi naomba unishauri, Namtumbo ni mbegu gani za mahindi zinafaa kupandwa ukanda ule???? Na mbolea ipi inafaa, msaada tafadhali Click to expand... hilo eneo sina uzoefu nalo mkuu
Mfilisiti said: Mkuu mimi naomba unishauri, Namtumbo ni mbegu gani za mahindi zinafaa kupandwa ukanda ule???? Na mbolea ipi inafaa, msaada tafadhali Click to expand... hilo eneo sina uzoefu nalo mkuu
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,597 Reaction score 18,414 Sep 21, 2023 #23 FaizaFoxy said: Falsafa ya uongozi wa mama Samia ni hizo R 4 mojawapo ni mabadiliko. Tena kama ni mkulima piga hiyo namba kuna mengi ya manufaa kwa wakulima, kuanzia ruzuku za pembejeo mpaka mikopo ya vifaa vya kisasa vya kilimo. Click to expand... Fafanua hizo namba ni za nani na anajusika na nini na yuko wapi ? Mimi nahitaji Mbegu za mahindi aina ya TEMBO au ZAMSEED. Na niko Ujiji Kigoma. Hizo namba zitanisaidia nini, Fafanua wewe Bibi wa Mkuranga.
FaizaFoxy said: Falsafa ya uongozi wa mama Samia ni hizo R 4 mojawapo ni mabadiliko. Tena kama ni mkulima piga hiyo namba kuna mengi ya manufaa kwa wakulima, kuanzia ruzuku za pembejeo mpaka mikopo ya vifaa vya kisasa vya kilimo. Click to expand... Fafanua hizo namba ni za nani na anajusika na nini na yuko wapi ? Mimi nahitaji Mbegu za mahindi aina ya TEMBO au ZAMSEED. Na niko Ujiji Kigoma. Hizo namba zitanisaidia nini, Fafanua wewe Bibi wa Mkuranga.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,802 Sep 21, 2023 #24 Che mittoga said: Fafanua hizo namba ni za nani na anajusika na nini na yuko wapi ? Mimi nahitaji Mbegu za mahindi aina ya TEMBO au ZAMSEED. Na niko Ujiji Kigoma. Hizo namba zitanisaidia nini, Fafanua wewe Bibi wa Mkuranga. Click to expand... Hizo namba ni wizara ya kilimo huduma kwa wateja. Wizara sasa inatowa huduma kwa simu pale unapoihitaji. Wapi utapata ufumbuzi wa mambo ya kilimo zaidi ya wizara ya kilimo? Tafadhali piga utuletee mrejesho.
Che mittoga said: Fafanua hizo namba ni za nani na anajusika na nini na yuko wapi ? Mimi nahitaji Mbegu za mahindi aina ya TEMBO au ZAMSEED. Na niko Ujiji Kigoma. Hizo namba zitanisaidia nini, Fafanua wewe Bibi wa Mkuranga. Click to expand... Hizo namba ni wizara ya kilimo huduma kwa wateja. Wizara sasa inatowa huduma kwa simu pale unapoihitaji. Wapi utapata ufumbuzi wa mambo ya kilimo zaidi ya wizara ya kilimo? Tafadhali piga utuletee mrejesho.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,802 Sep 21, 2023 #25 DENAMWE said: Asante. Nitawatafuta kesho. Kumuelewa Bashe na mama unamaanisha nini? Click to expand... Tuletee mrejesho.
DENAMWE said: Asante. Nitawatafuta kesho. Kumuelewa Bashe na mama unamaanisha nini? Click to expand... Tuletee mrejesho.
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,597 Reaction score 18,414 Oct 1, 2023 #26 Wakulima tunahitaji Mbegu za mahindi kwa wingi. Zamseed. Tembo.
Tychob JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 4,221 Reaction score 5,560 Oct 1, 2023 #27 Tumieni mbegu za asili
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,597 Reaction score 18,414 Oct 1, 2023 #28 Tychob said: Tumieni mbegu za asili Click to expand... Mbegu za Asili hazina tija kwa Kilimo Biashara. Zinatoa Mavuno machache sana. Hekari moja inaweza kutoa Gunia sio zaidi ya kumi. Wakati Mbegu za kisasa inatoa Gunia hadi thelathini ukilima kwa Trekta na kuihudumia vizuri. Na zina uzito mkubwa.
Tychob said: Tumieni mbegu za asili Click to expand... Mbegu za Asili hazina tija kwa Kilimo Biashara. Zinatoa Mavuno machache sana. Hekari moja inaweza kutoa Gunia sio zaidi ya kumi. Wakati Mbegu za kisasa inatoa Gunia hadi thelathini ukilima kwa Trekta na kuihudumia vizuri. Na zina uzito mkubwa.