mbegu ya kitunguu chekundu.

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
Wakulima wenzangu nawasalimu kwa heshima zote.
Naomba wenzangu mnijulishe mnatumia mbegu gani nyingine katika kupata kitunguu kizuri chekundu mim natumia mbegu inayojulikana kama RED BOMBAY.
RED BOMBAY naichukulia ifakara ambako ndiko nilikoambiwa toka mwanzo kuwa ndiko wanakoiuza original na nzuri,hivyo pia ningependa kuwauliza wenzangu mnaotumia mbegu hii ya RED BOMBAY kwa Dar mnachukulia maduka gani yanayoaminika?
Je nyie wenzangu mnanunua mbegu hii kiasi gani?
Nawatakia kila la kheri wafugaji wote wa kitunguu maana msimu wetu umeanza.
Thanx.
 
Back
Top Bottom