Mbegu umebeba?

Fikra mlazo

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
237
Reaction score
37
Waha watatu walienda kwa ndugu yao, walipofika kwa ndugu yao mjini wakapewa soda, walipoondoka mmoja akatia kizibo mfukoni,baadae akamnong'oneza mwenzake,mwenzio nimechukua mbegu vp ww?
 
Duh anaenda kupanda kizibo shambani...., akina zito bana!
 
Kumbe waha ni kama wahehe,kuna mmoja alileta hii ila ye alisema ni wahehe
 
Safi sana! He thinks in N dimensions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…