Mbegu nzuri ya mahindi inayofaa kustawishwa wilaya ya Ngara na Karagwe

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
807
805
Nataka kupanda mahindi kwenye wilaya za Karagwe na Ngara.

Naomba kushauriwa mbegu bora inayofaa katika wilaya hizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom