..Jaribu kuwasiliana na kituo cha Taliri [ Tanzania Livestock Research Institute ]kilicho karibu na wewe.
..Vituo vya Taliri " al maarufu " kwa uzalishaji wa mbuzi ni vile vilivyoko Mpwapwa na Kongwa.
..Na mbuzi wanaozalishwa na vituo hivyo ni mbuzi aliyeboreshwa aina ya blended/malya.
..Kuhusu mbuzi huyo kama anazaa mapacha, au la, nakushauri uwatafute wataalamu walioko Kongwa au Mpwapwa.
..Unaweza kuwaandikia Taliri Mpwapwa kwa kutumia
mpwapwa@taliri.go.tz , na Kongwa kwa kutumia
kongwa@taliri.go.tz, pia namba za Taliri makao makuu ni +255 713 483 126 / +255 786 191 049
NB:
..usisahau kutuletea mrejesho wa hatua kwa hatua kuhusu safari yako ya kufuga mbuzi wa nyama.
..