Kuna urasimu sana hapa kwetu Tanzania kuzipata hizo scholarship!zinauzwa na pia lazima uwe mtu wao!unaweza kupata admission china na ukapata scholarship kwa serikali ya china,ukija dar wanaziuza wanapeleka watu wengine!unakuta jina lako bado lipo chuoni ila huku wizarani hakuna!