Mbaya kwako

Hiyo michoro ya mabinti wote naona ni mtu mmoja....zzzzzzzzzzzz
 
Hivi hapo hela za nani zinatumika? Maana domo asijebaki empty akatupiwa malboro na passport nje ya nyumba!!! Chezea pesa zikiisha kama alipendwa pesa na sio yeye!!!
 
Hivi hapo hela za nani zinatumika? Maana domo asijebaki empty akatupiwa malboro na passport nje ya nyumba!!! Chezea pesa zikiisha kama alipendwa pesa na sio yeye!!!

Na domo alivyo hodari wa kuhonga, hakika mwisho wa siku tutasikia amebakiwa na laki 3 tu kwenye Acc.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…