Mimi nilijiunga CHADEMA nikijua ni wapinga rushwa,nadhani wengi tulijiunga kwa sababu hiyo,kwamba cdm ilionekana ni mbadala kwa siasa za tz,ninaumia sana nikisikia CHADEMA wakihusishwa na rushwa,
Kwa akili zangu ili CHADEMA iendelee kuwa maarufu hapa tz, isipoteze mvuto wake kwa wananchi, ni busara kumfukuza zitto uanachama kama kweli itathibitika kuwa anahusika pamoja na wenzake akina sendeka,unapingaje mafisadi wakati wewe ni fisadi pia?
CHADEMA wasiogope hakuna aliye maarufu kuzidi chama chenyewe
Ninazo habari za karibu kuwa mbatia anatumiwa na mafisadi walioko kwenye kambi za urais za CCM, wanampigia chapuo ili achukue nafasi ya Zitto huko POAC, ifikapo 2015 ameahidiwa kuwa atasaidiwa pesa za kampeni ili chama chake cha NCCR kipate wabunge angalua wengi kuliko CHADEMA na kuwa upinzani rasmi bungeni. FUATILIENI KWA KARIBU NA SIKU MOJA MTAKUMBUKA THREAD HII
Kweli kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu. Mbatia alishirikiana na Zitto na Zoka 2010 kuiwezesha NCCR kupata wabunge 4 Kigoma, leo tena wamegeuka panya na paka. Safi sana.
Amezidi kunichefua aliposema yeye ndiye tumaini la wanyonge na vijana wote bila kujali itakidi zao kisiasa. Naichukulia hiyo kama ishara ya mtu mwenye ujivuni na kibri (arrogance), na hiyo haijawahi kuwa sifa ya kiongozi bora.kesho mda kama huu mtakuwa mmebadilika na kumpigia makofi Zitto
2. alishiriki kikamilifu kuisambaratisha NCCR mageuzi wakati wa Mrema