Mbatia asubiri tena huruma ya Rais ajaye apate ubunge wa kuteuliwa. Muda wote alikuwa anapiga domo akiwa Dar wakati akina Mnyika, Tundu Lisu na Mbowe wana ngome zao majimboni.
Mbatia amekuwa mtumwa wa lowassa ( Msukule wa lowassa) ili amsaidie kwenye mbio zake za ubunge huku akijua bila msaada wa Lowassa hawezi shinda. Naamini hivyo kwa Sababu:
1. Mwaka 1995 Mbatia aligombea ubunge akashinda, alishikwa mkono na Augustino Mrema na kuwaambia wana vunjo anaenda kugombea urais ila anawaachia kijana mbatia kuwa mbunge wao.
2. Mwaka 2000 Mbatia alimsaliti Mrema na alipogombea ubunge wana Vunjo walimwambia kama unataka ubunge aende kumwomba Mrema msamaha, kitu ambacho hakufanya kwa hiyo akapigwa chini na wana Vunjo. Pia, tukumbuke 1995 Mrema alipomshika mkono mbatia akipata kura 57,000 ambayo ilikuwa asilia 87 Ya kura zote. Alipomsaliti Mrema 2000 akipata kura 3,400 ambayo ni asilimia 2 ya kura zote.
3. Mwaka 2010 aligombea jimbo la Kawe akapata kura kiduchu akishika mkia kuwa mtu wa tatu, nyuma ya Mdee wa CHADEMA na mgombea wa CCM. Palikuwa hakuna mtu wa kumshika mkono.
4. Sasa 2015 anasubiria huruma ya Lowassa ndio maana habanduki ubavuni kwake na amekuwa msemaji wa CHADEMA huku chama chake cha NCCR kikiwa kinalegalega. Kweli lowassa amemhurimia ndio maana alikwenda Vunjo na kufanya mikutano mitatu Kahe, Kirua Vunjo na Himo. Hakuna jimbo jingine ambapo lowassa amefanya Mkutano zaidi ya mmoja. Lowassa hakufanya Mkutano Moshi mjini, Moshi vijijini waka Rombo.
Alipomaliza mikutano hiyo aliondoka.
Kila mgombea ubunge ameenda kujichimbia kwenye jimbo lake kusaka kura lakini yeye yupo ubavuni kwa Lowassa tu. Mfano Tundu Lissu yupo jimboni kwake anapambana ulitegemea ndio awe msemaji wa Lowassa lakini anapigana kiume jimboni kwake.
Kumbe anaishi kwa hisani ya mwenye nchi halafu anazingua zingua. Ajichunge sana, maana akiukosa kweli atarudi KinondoniSi ndo kazoea kupewa na marais
Namuombea Mbatia Apite .Wananchi wa Vunjo Mchagueni Anauwezo Mkubwa wa Kutumikia Wananchi compare na Hao Wengine
MTU asijewadanganya, Vunjo ni jimbo la Mbatia ije mvua - lije jua ushindi ni lazima kama siyo Razima!!
ukawa kigoma wanakwambia heri wakose wote kuliko ACT ishinde.Mwaka huu tutaona Mengi sana.Kigoma CCM Wameungana na UKAWA Kuwakabili ACT Wazalendo,Vunjo tena ni TLP,CCM against NCCR Mageuzi
Hawa watu ni HATARI yaani wapo TAYARI Kuona CCM inashinda na si ACT Wazalendo.Wanatumia mpaka HOJA ya DINI.Lakini WALALAMISHIIukawa kigoma wanakwambia heri wakose wote kuliko ACT ishinde.
ccm ina vichekesho yaani wanyanganywe same majimbo waje wapate moshi vijijini?haiwezekani hata mjini wanaongea tu hawatapata zaidi ya majimbo mawili-lowassa hajaenda moshi vijijini
Aliachana na yule mke wake?!James mbatia hata pata kura Vunjo kwa sababu haonekani Vunjo yeye yupo ubavuni Mwa lowassa. Wanavunjo wanauliza kama Kwenye kampeni haonekani akipata ubunge itakuaje? Mbatia hana makazi Vunjo Nyumba anayofikia ni Ya wazazi wake, kiasi cha watu Vunjo kumwita "yahaya". Mbatia hana mke wala Mtoto wana Vunjo wanauliza ataongozaje jimbo la Vunjo na ubachela wake ataenda kustarehe Dar Es salaam. Pia, historia ya baba Yake aliyekuwa akiwatumikisha watu wa Vunjo Kwenye mashamba Yake bila kuwalipa malipo stahiki. Madiwani wa Chadema kumtosa mbatia na kuahidi kumpigia kura Mrema kwa kuwa mbatia anaua Chadema Vunjo kwa kung'ang'ania kuweka madiwani wa Nccr kata zote 16 na kuwanyima Chadema kata 8 kama walivyokibaliana Kwenye ukawa. Wana Vunjo wanajua mbatia anatumika Na Aloyce Kimaro wa Ccm ( mbunge wa Vunjo 2005- 2010) Land Rover hardtop wanazotumia Nccr Kwenye kampeni ni zake. Tunajua Mrema kafunga Kiwanda cha kimaro cha vinywaji na Zile eka 11 alipora ajenge kituo cha radio zimethibitiwa kwa hiyo huu msaada kwa mbatia ni kwa ajili gani, hii ndoa ya ukawa na Ccm Vipi? Wana Vunjo sio wajinga. Wanaona Na wanajiuliza
Mwaka huu tutaona Mengi sana.Kigoma CCM Wameungana na UKAWA Kuwakabili ACT Wazalendo,Vunjo tena ni TLP,CCM against NCCR Mageuzi
kumbe source gazeti raia mwema? nime elewa
lazma tumchinje vunjoo apo