M mtemiwao JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 384 Reaction score 47 Nov 2, 2010 #1 Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!
Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,788 Nov 2, 2010 #2 mtemiwao said: Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r! Click to expand... Kama raia wa kawaida, pamoja na wapiga debe mtaani wamemstukia kuwa ni kilaza na anaendesha tabia zisizokubalika na jamii ya Kiafrica, kwanini anadhani anafaa?..Hivi hajistukii kuwa tabia hizo ni chafu?, na still anataka kuwa mbunge:A S-cry🙁
mtemiwao said: Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r! Click to expand... Kama raia wa kawaida, pamoja na wapiga debe mtaani wamemstukia kuwa ni kilaza na anaendesha tabia zisizokubalika na jamii ya Kiafrica, kwanini anadhani anafaa?..Hivi hajistukii kuwa tabia hizo ni chafu?, na still anataka kuwa mbunge:A S-cry🙁
Ngisibara JF-Expert Member Joined Jan 2, 2009 Posts 3,413 Reaction score 2,276 Nov 2, 2010 #3 mtemiwao said: Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r! Click to expand... Sasa aende salama mahakamani akasubiri billions zake, halafu huyu jamaa kwa safari hii naye kaonyesha rangi zake zote kama Lyatonga
mtemiwao said: Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r! Click to expand... Sasa aende salama mahakamani akasubiri billions zake, halafu huyu jamaa kwa safari hii naye kaonyesha rangi zake zote kama Lyatonga
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 685 Nov 2, 2010 #4 naona yuko kimrema mrema zaid
Mkereketwa JF-Expert Member Joined May 19, 2007 Posts 202 Reaction score 25 Nov 2, 2010 #5 Hamjui kuwa NCCR - Mageuzi ni subset ya CCM.
3D. JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,018 Reaction score 284 Nov 2, 2010 #6 mkereketwa said: hamjui kuwa nccr - mageuzi ni subset ya ccm. Click to expand... nccr - nccm