O OMEGA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 693 Reaction score 301 Apr 5, 2016 #41 Mbona anatumia gari yenye plate number ya East African Community na huku ikiwa na bendera ya NCCR,je inaruhusiwa gari ya EAC kuwa na bendera ya chama na kutumika kichama?yeye mbatia ana cheo gani EAC hadi kupewa gari hiyo?
Mbona anatumia gari yenye plate number ya East African Community na huku ikiwa na bendera ya NCCR,je inaruhusiwa gari ya EAC kuwa na bendera ya chama na kutumika kichama?yeye mbatia ana cheo gani EAC hadi kupewa gari hiyo?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,528 Reaction score 272,251 Apr 5, 2016 #42 Kwaheri Mrema , usaliti ni laana mbaya sana .
O OMEGA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 693 Reaction score 301 Apr 5, 2016 #43 Leo nimesikia redioni kuwa Mrema ali withdraw ile kesi[clouds 360 leo asubuhi]
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,802 Apr 5, 2016 #44 Uzi wa 2014 mnaifufua wa nini? Huyu keshaua chama! Tamaa ya madaraka imemponza.