Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
mkiti wa nccr mh james mbatia leo amehutubia umati wa wana jimbo la vunjo.kuna kila dalili za kun'goka kwa lyatonga.
wana vunjo wanatafakari wachague nccr au cdm,magamba hawatajwi kabisa.kweli ccm vunjo imefulia kabisa! viva UKAWAAA...