idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
Amezoea viti maalum huyu fisadi akishindwa sijui watalala wapi mafisadi hawa.
teh! kama muhongo. alionjeshwa asali akatamani mzinga.
Amezoea viti maalum huyu fisadi akishindwa sijui watalala wapi mafisadi hawa.
James Mbatia akifungua kampeni vunjo. Akihutubia makumi ya wana vunjo alisema achaguliwe kua mbunge.