James Mbatia anaongea, anatetea sana hiyo kodi ya simu, alaumu sana kwamba serikali ndiyo imeleta mgangano kwa kushindwa kutekeleza vizuri hiyo sheria.
Kumbe jamaa yupo kwenye ile kamati ya chenge iliyoleta hili balaa la sim card tax ambalo, tunamshukuru Mungu, Kikwete ameondoa hili balaa kwa kurejesha sheria bungeni kwa hati ya dharura