Halafu ukimuuliza mtu kuhusu yaha mabadiliko ya kimfumo hawezi kukueleza;
Mfano:
Hivi mfumo tuliopo ukoje?
Ni vitu gani viondolewe, au viongezwe, au virekebishwe na virekebishweje katika mfumo huu?
Uihoji haya mambo utajidhihirisha ni jinsi gani watu wengi walivyo wavivu kufikiri......!
Napata shaka kuwa huenda Watanzania tunarudia tena ushabiki wa mwaka 2005...!
Hivi Mbasha ni mwanamme pekee kuchukuliwa na mke? Kuna wimbo uansema: Kuchapiwa ni siri ya ndani. Mbasha ni mwanamme dhaifu anayetafuta huruma ya umma. Mbona Mbasha anajivua nguo? poor man!