Mbarikiwe sana mliopata wanawake wanawajali

Mbarikiwe sana mliopata wanawake wanawajali

Kipindi cha uchumba nilipokwenda kwao kumsalimia tukiwa na mama yake, niliongea kama utani kua njaa inaniuma, kwakweli sijui aliondokaje ondokaje ila wakati naaga nikamkuta yuko mlangoni ananambia njoo ule nimekuwekea chakula, hapo nilishasahau kama nimesema ninanjaa.

Kile kitendo cha kunijali kiliongeza sana mapenzi yangu kwake. Hakika hakuna jambo zuri kama kupata mtu anaekujali na kuelewa unahotaji nini.

Mungu akusaidie shemeji akujali mtoa mada
 
Amen

Lakini wengine wanajaliwa na bado wanajaa wenge.. sijui wanatakaga nn kipya
 
NDOA NI UTAPELI KAMA UTAPELI MWINGINE TU. wanaume mtaendelea kutapeliwa sana maana kwenye hii sekta mwanamke ndo tapeli na mwanaume ni tapeliwa
KATAA NDOA
KATAA NDOA.
 
Aisee sisi wengine tuna wanawake pasua vichwa.

Mtu umeoa kama huko single vile.

Mbarikiwe wanaume wote mliopata wanawake wazuri.
Kwa hio wewe umeoa Gorilla au sio? Yaan umeacha wanawake wote umeenda kuoa Mama la Manyani?
 
Aisee sisi wengine tuna wanawake pasua vichwa.

Mtu umeoa kama huko single vile.

Mbarikiwe wanaume wote mliopata wanawake wazuri.
Ulichagua mwenyewe unakuja kutulalamikia huku.
Wewe umeoa kwa sababu ya tako, kitu ulichosahau Ni kwamba like tako Ni mavi tu yamejaa mle.
Endelea na mavi yako tuachie sisi wenye flat screen wife material.
Wife anayetufanya tuwahi kurudi nyumbani mapema.
 
Back
Top Bottom