Mbappe kanitekea demu wangu

Madem utawaweza, Brazil walivyotolewa, Status za Madem wengi wasap ilikua

"Ohoooo Pole My Neymar"

"Jamaan Brazil why??"

Na ma blaaaa blaaaah kibao !!.


Juzi ya Akina mbapeee ,basi jamaa

"mbapeeee wanguuuu "

Na mbalaaa blaaaah.


Wasiwasi wangu nikama Demu wako nayeye ameingis kwenye mkumbo wa PICHA ZA MBAPE ,alopigwa akionekana mbooo imesimama.


Hivi Wanawake unawajua?? Unaweza Hisi anamsifia Kila Mara Kwa sababu kafunga magoli, la hashaa, ni Kwa sababu ya hiyo picha mitandao .


Cha kufanya ??


Muulize Baby, Mbape anachezea Klabu gan???? Akikujibu, "Ufaransa"...


Mpige economic sanctions yaaan NO MATUMIZI.....huyo Mbape aanze kumtunza !!


🀣🀣
 
Cha kufanya ??


Muulize Baby, Mbape anachezea Klabu gan???? Akikujibu, "Ufaransa"...


Mpige economic sanctions yaaan NO MATUMIZI.....huyo Mbape aanze kumtunza !!

Umenifurahisha asubuhi hii🀣🀣🀣
 
Na huyu kazama kimapenzi kabisa sio kimpira.
 
Cha kufanya ??


Muulize Baby, Mbape anachezea Klabu gan???? Akikujibu, "Ufaransa"...


Mpige economic sanctions yaaan NO MATUMIZI.....huyo Mbape aanze kumtunza !!

Umenifurahisha asubuhi hii🀣🀣🀣
Ewaaa mpaka Kila kitu chako mwilini kimetabasam . Kila kitu ?🀣.

Jambo la Heri, kuanza siku Furaha
 
Hapa ndio mjue hawapendi hela wanapenda status. Yaani huyo dogo akija bongo atawakula mademu zenu wote mnaojifanya mnahudumia. Tena atakuomba hata nauli japo akaliwe tu na mbape ujue.
 
Blazaaa haina kuziraaa.. Jiite mbappe kuchua swaggz za mbappe na ww tembelea fursa
 
Mbappe wetu jamani

Just imagine


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mbappe nimemjua juzi kwenye mechi ya fainali. Anafaa kwa matumizi....mwambieni Messi anyoe ndevu zake vizuri


Nyieee nyieee Hawa huku ..

Nilishawambia Kila siku na Kila Mara ... Woman has absolutely no control over who to fall in love with !!.


Mwanamke anakua na Mwanaume yule tu atakayefanikiwa Kuziamsha Hisia zake !!

Ukiijua Siri hiii, unaweza kula za kimasihara mpaka shetani mwenyewe akakuambia "Doohh bwana Mdogo, nikuvishe crown yako tu maana hata Malaika waloasi namie, umewazidi kete ".



Muulize Demu , kwann ulikua na fulan kimahisiano? Simpoooo, atakujibu tuu, """Ilitokea"".

Hiii inamaana gan? Wanawake wanaongozwa na Hisia, and when they are sexually attracted Nawewe, Utawapanga BUS la Abood !!!.


Huwa hawaamui Logically kua na mtu, rather than emotionally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…