Mbao za MNINGA size mbalimbali

Mbao za MNINGA size mbalimbali

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Wakuu katika JF kam unahitaji mbao za Mninga size mbalimbali naomba tuwasiliane kwa PM, Kwa wakazi wa DSM Iwapo utahitaji kiasi kikubwa Usafiri wa kukufikishia hadi mahali ulipo unapatikana.:violin:
 
Naomba mod muwemnazifutilia mbali habari kamahii mana humu watu wanalalamika sikuzote sasa unapokuja na kutuambia anaehitaji mninga ani pm unahaja gani yakutueleza kwakuwa tayari umeshaweka uwalakini mbona hamjifunzi kuweka wazi kazizenu kwanini kutukomvis watu mana ukiwa wazi moja kwamoja ntapata ham yakuwasiliana na wewe kulikoni kusema mtu PM kwanini usiweke beizako hapa na vipimo vya mbao ulizo nazo
 
Hello,kama bado kuna yeyote anayehitaji mbao za MNINGA size 2*10*10 aniambie,ninazo za kutosha. Kama uko DMS nitakufikishia hadi ulipo kwa idadi unayohitaji
 
Back
Top Bottom