Na ujazo haujazungumzia, maana unapokuwa unauza mbao ni Upana x Kima x Urefu ili mtu ajue kwa ujazo ni bei gani: Mfano Mbao ya 10" x 2" x 1' (Upana ni nchi 10 x kima ni nchi 2 x urefu wa futi 1) = TZS 4,400 maana yake hapo kati yaani kima kikipungua kikawa ni nchi 1 na bei kwa futi inatakiwa kupungua kwa kuwa ujazo unakuwa umepungua. Maana yake 10"x 2" x 1' = 20 cu inches per feet na 10" x 1" x 1' = 10 cu inches per feet ambayo likely bei inakuwa ni nusu ya 10 x 2.