Tuwacliane 0784616544Wadau kama kuna mtu anauza Mbao za Mitiki, basi tunaweza kuongea, kama utakua Comfortable hapa Sebureni ni sawa, kama utapenda twende PM, let's do it!
Nipe bei kwa size ulonayo, nataka Container 2 kwa kuanzia!
mitiki yangu miaka 15 kerege bmoyo heka 8 yote full mitiki
Mimi ni mdau katika upandaji, uvunaji na uchakataji wa mbao za mitiki na miti mingineyo.
Ninao uwezo wa kumudu order yako tena kwa wepesi na haraka.
Napatikana Turiani, Mtibwa-Teak.
Mbao zangu zinatokana na mitiki iliyo komaa.
Karibu Mkuu tujadili biashara.
Shukrani Mkuu! Unazo Mbao ambazo zipo tayari kwa biashara? Kwamba zimechanwa kabisa?Mimi ni mdau katika upandaji, uvunaji na uchakataji wa mbao za mitiki na miti mingineyo.
Ninao uwezo wa kumudu order yako tena kwa wepesi na haraka.
Napatikana Turiani, Mtibwa-Teak.
Mbao zangu zinatokana na mitiki iliyo komaa.
Karibu Mkuu tujadili biashara.
Sorry mkuu muda huu ndiyo naingia JF, i was too busy today...Shukrani Mkuu! Unazo Mbao ambazo zipo tayari kwa biashara? Kwamba zimechanwa kabisa?
Ok Mkuu, nipe muda kidogo ntakujulisha.Sorry mkuu muda huu ndiyo naingia JF, i was too busy today...
Shehena kwangu huwa haikosi kikubwa naomba unipe specifications za order yako ili nicheck stock yangu kama inaeneza idadi ya mzigo utakao.
Karibu sana mkuu!
Mkuu specify dimensions za mbao utakazo make huwa nauza kulingana na gharama za uandaaji wa mzigo.mmm3 za ujazo unauzaje?
Habari ndugu nina mitiki naomba mawasiliano yako kama bado unaendelea nahii biasharaWadau kama kuna mtu anauza Mbao za Mitiki, basi tunaweza kuongea, kama utakua Comfortable hapa Sebureni ni sawa, kama utapenda twende PM, let's do it!
Nipe bei kwa size ulonayo, nataka Container 2 kwa kuanzia!
Habari!Habari ndugu nina mitiki naomba mawasiliano yako kama bado unaendelea nahii biashara