Mkuu mbona unauza biashara kienyeji?, kama umepata muda wa kuweka tangazo lako humu kwa nini usiweke vitu vya kueleweka, wewe simu yako ndio unaona biashara, mbao ziko nyingi kila kona
tumia nafasi uliyoipata hapa JF kwa kweka detail
1) Wewe unauzia wapi hizo mbao zako
11) Bei ya mbao ni kiasi gani kufuatanan na vipimo husika
iii) una deliver mzigo kwa umbali gani kutoka unapouzia
Huyu jamaa anaonekana si muuzaji, hajui biashara ni matangazo kinachomvuta mtu ni bei, mimi ninavyojua mbao zinauzwa kwa ft au meter ukiachana na size. Toa all necessary details.
(1) Mbao za Dawa kwa Futi Moja.
2x2 400/=ft
2x3 800/=ft
2x4 900/=ft
2x61300/=
1x8 12000/= Kwa Ubao mmoja wenye "Ft 12"
1x10 15000/= Kwa ubao mmoja wenye "Ft12"
(2) Mao za Kawaida Zisizo na Dawa.
2x2@ 4000/=
2x3@ 5000/=
2x4@ 7000/=
2x6@ 9000/=
1x8@ 10000/=
1x10@ 13000=