Mbao vs Yanga

Sasa pesa tumetoa wapi sisi Omba Omba watembeza bakuli?
Kwani haiwezekani mkatembeza bakuli mkapata pesa mnunue mechi?

Kwani mbao wana gharama gani kusema labda utatumia mipesa mingi kama kuwaonga? Wale ni wenzenu tu sema wao hawana mikazo ya kutembeza bakuli hadharani kama nyie

Sent using unknown device
 
Naipenda YANGA
Dakika 24 ·
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Mratibu wake Hafidh Saleh, umesema umekusanya kiasi cha shilingi milioni 21.377 kutokana na michango mbalimbali ya wanachama na mashabiki wake.

Duh kelele zote ndani ya wiki mbili tunachanga pesa hizo mbona tunamuungusha Kocha na ndoto yake ya kuwa na kikosi bora msimu ujao.
 
Hahaha

MTC | 101|
 
Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.

2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair

3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
Na wale wanaong’oa viti uwanjani unawaweka kundi gani?
 
Back
Top Bottom