Mbao mbao mbao

Mbao mbao mbao

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Salaamz wadau,

Nina mzigo wa mbao semi trela moja, soft wood, mbao ndefu, 2 x 4, 2 x 6 toka iringa.

Kama unahitaji tuwasiliane nikushushie mzigo

Wasalaam,
Gefu
 
Huko mkoa gani!! Nashauri nyie watu mnaoleta matangazo ya biashara mtandaoni mje na details za kutosha ili mzibe mianya ya maswali na tangazo liwe limejitosheleza.
 
1462969960235.jpg
 
Huko mkoa gani!! Nashauri nyie watu mnaoleta matangazo ya biashara mtandaoni mje na details za kutosha ili mzibe mianya ya maswali na tangazo liwe limejitosheleza.
...kaka tangazo liko full kueleweka kilichobaki ni maelewano kama uko interested, em soma vyema baada ya kueleza size za mbao nimesema zinatoka iringa, to be more specific saohill...
 
...wadau vipi nipeni biashara basi...
 
...wadau vipi nipeni biashara basi...
Mkuu hizo mbao ndefu ndo futi ngapi?? ft12 au?
Kwani hukua na order na je bado upo na hiyo shehena huko saohill au uponao mkoa gani?
 
Mkuu hizo mbao ndefu ndo futi ngapi?? ft12 au?
Kwani hukua na order na je bado upo na hiyo shehena huko saohill au uponao mkoa gani?
...ni zaidi ya ft 12...
 
...sema ihembe wewe ndo huyu wa mafinga..? karibu sana..
 
Salaamz wadau,

Nina mzigo wa mbao semi trela moja, soft wood, mbao ndefu, 2 x 4, 2 x 6 toka iringa.

Kama unahitaji tuwasiliane nikushushie mzigo

Wasalaam,
Gefu
mkuu naomba uweke number na bei ili tuweze linganisha kati ya hawa walanguzi wa huku mtaani na wewe nani mwenye afadhali nahitaji nyingi mkuu ukiwa serious
 
Back
Top Bottom