Mbali na umasikini tulionao TANESCO wanazidi kututia Umasikini

Waziri Kalemani kaonyeshwa TBC saa mbili usiku anachimba biti kwa TANESCO mkoa wa Dar wasithubutu kukata umeme la sivyo atawavuruga watu hapo kampunini kwa sababu hakuna mgao na pia leo kuna surplus production of well over 200MW.

Taarifa ya habari haijaisha TANESCO wakamtengeneza!

Ndio umerudi sasa hivi...

Yote sawa. Kudang'anywa ni jadi yetu. Ngoja niende barabarani, nasikia leo mzee baba anapita, huenda nikanunuliwa dafu.
 
Back
Top Bottom