mtoto yupo under age..hana experience na maisha ana ndoto zake ila zimekatizwa kwa kuolewaKwanini umeumia?
I gues huko ni usukumani au kwa wenzangu Wamakonde na Wayao.Poleni sana na matatizo yanayoendelea nchini niseme ukweli najuta kuzaliwa nchi hizi za kiafrika.
Tukiachana na hayo kuna tukio limetokea huku kijijini kwetu mtoto wa miaka 16 hivi alibakwa na wabakaji
Sungusugu wakafanikiwa kuwakamata vijana wawili waliohusika na ubakaji cha ajabu
Mbakaji ameoa leo ndio wanapanga mahari nimeumia sana. Duh
Wee unaonaje???
Nae abakwe...Wee unaonaje???
Under age???? Au ni tamaduni za kikoloni????mtoto yupo under age..hana experience na maisha ana ndoto zake ila zimekatizwa kwa kuolewa