daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 873
Hivyo viboko usisikie mkuu, huyo dogo hatakaa asahau!hii ndio bongo bwana omba mungu akupe pesaaaaa hata ubake unapgwa vboko2
Niliwahi kuona mtu mzima mwenye umri wake amechapwa vitatu tu akazimia!
Stail yake tu ya maandalizi ni msala!