Mkuu kwa sehemu kama mbande fursa zipo nyingi sana.
Maana watu wengi kule huduma nyingi hufuata rangi tatu au gerezani na tandika.
Biashara ya kwanza ni
Photoshop studio
Duka la simu
Stationary + Internet cafe
Hardware.
Kwa uchache tu

Anasema fursa..
Hivo nilivotaja ni fursa ambazo kwa pale mbande bado hakuna watu walio serious na hayo mambo mkuu.
Mfano photoshop studio ipo maeneo gani pale mbande mkuu