AKILI TATU JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 2,666 Reaction score 2,841 Oct 1, 2016 #1 Wakuu wa jukwaa la manufaa habari zenu,naomba kujuzwa kama kuna mbadala wa kuchuma mapato online kupitia internet zaidi ya Google Adsens na ni namna gani ya kujiunga na ni vipi unanufaika nayo,natanguliza shukrani kwa watakonisaidia kulijua hili
Wakuu wa jukwaa la manufaa habari zenu,naomba kujuzwa kama kuna mbadala wa kuchuma mapato online kupitia internet zaidi ya Google Adsens na ni namna gani ya kujiunga na ni vipi unanufaika nayo,natanguliza shukrani kwa watakonisaidia kulijua hili
apakak JF-Expert Member Joined Dec 2, 2012 Posts 896 Reaction score 662 Oct 1, 2016 #2 Jaribu Propeller Ads. Ila hailipi kwa clicks,inalipa kwa Impression(CPM) tu Kama traffic yako ni ya wabongo hii makitu itakuwa ngumu sana kwako Hii ngoma inafaa kwa wale wenye traffic ya US,CANADA,UK na EU
Jaribu Propeller Ads. Ila hailipi kwa clicks,inalipa kwa Impression(CPM) tu Kama traffic yako ni ya wabongo hii makitu itakuwa ngumu sana kwako Hii ngoma inafaa kwa wale wenye traffic ya US,CANADA,UK na EU
hashimrashidy Senior Member Joined Sep 11, 2015 Posts 197 Reaction score 145 Oct 2, 2016 #3 Propeller Ads – Display and Mobile Advertising Network /?rfd=v7D PopAds - Home Media.net | Yahoo! Bing Network Contextual Ads
Propeller Ads – Display and Mobile Advertising Network /?rfd=v7D PopAds - Home Media.net | Yahoo! Bing Network Contextual Ads
AKILI TATU JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 2,666 Reaction score 2,841 Oct 3, 2016 Thread starter #4 apakak said: Jaribu Propeller Ads. Ila hailipi kwa clicks,inalipa kwa Impression(CPM) tu Kama traffic yako ni ya wabongo hii makitu itakuwa ngumu sana kwako Hii ngoma inafaa kwa wale wenye traffic ya US,CANADA,UK na EU Click to expand... mkuu hii kitu nimejaribu kujiunga mbona ka,a inanirocha rocha,.nimeingiza url yangu inakataa kusoma tatizo nini hapo?
apakak said: Jaribu Propeller Ads. Ila hailipi kwa clicks,inalipa kwa Impression(CPM) tu Kama traffic yako ni ya wabongo hii makitu itakuwa ngumu sana kwako Hii ngoma inafaa kwa wale wenye traffic ya US,CANADA,UK na EU Click to expand... mkuu hii kitu nimejaribu kujiunga mbona ka,a inanirocha rocha,.nimeingiza url yangu inakataa kusoma tatizo nini hapo?
gwijimimi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2011 Posts 7,344 Reaction score 3,623 Oct 3, 2016 #5 hashimrashidy said: Nicheki 0717157467 Click to expand... Acha ujinga basi,si useme na sisi wengine tujue
hashimrashidy said: Nicheki 0717157467 Click to expand... Acha ujinga basi,si useme na sisi wengine tujue