CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
hapa nakuletea mbabe wa wababe nchini Tanzania kwenye msimu huu unaoisha, kumbuka kuwa namba hazidanganyi... angalia hapa,
1.Simba imefika fainali zote muhimu kuanzia ile ya mapinduzi hadi FA..
2. Simba imechezwa pungufu uwanjani na ikatoa dozi..
3.Simba ina wachezaji wengi timu ya taifa kuliko timu yoyote
4.Simba ndio timu ilivyovuna pesa nyingi kutoka kwa wadhamini wa mashindano mpaka sasa, milioni 42+50=92 cash!!
5.Simba ina wachezaji wanaojua namna ya kufunga magoli, yaani sio kufunga tu ili mradi hapa namaanisha goli bora la msimu limetoka huku, bado kuna kona iliyowahi kuingia yenyewe..
6.Simba haijawahi kufungwa na yanga katika msimu huu katika mashindano yoyote yale (hata haya ya sportpesa super cup yanayokuja)
hayo yote ni tisa.. kubwa kuliko yote ni ..
Simba haijawahi kufungwa na mbao FC...!!!
huyo ndie mbabe wa wababe kwa msimu huu...njoo kwa data